Silsila ya Tabia njema – Utu wema (Ushujaa wa tabia njema)
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia njema – Utu wema (Ushujaa wa tabia njema)
سلسلة الأخلاق – الشهامة
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
الشهامة
قال الله تعالى :
ولما ورد ماء مدين وجد عليه أمة من الناس يسقون ووجد من دونهم امرأتين تذودان قال ما خطبكما قالتا لا نسقي حتى يصدر الرعاء وأبونا شيخ كبير ( * ) فسقى لهما ثم تولى إلى الظل
( القصص : 23-24)
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
وتعين الرجل في دابته فتحمله عليها أو ترفع له عليها متاعه ، صدقة
رواه مسلم
Silsila ya Tabia njema – Utu wema (Ushujaa wa tabia njema)
Ni miongoni mwa maadili mema ambayo Uislamu umehimiza na kuamrisha:
Utu wema (Shahāmah)
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
Na alipo yafikia maji ya Madyana alikuta umati wa watu wananywesha (wanyama wao), na akakuta karibu yao wanawake wawili wanawazuia wanyama wao. Akasema: Mna nini? Wakasema: Hatunyweshi sisi mpaka wamalize hao wachunga. Na baba yetu nimzee Basi Musa akawanyweshea; kisha akarudi kivulini, na akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo niteremshia.
(Surat Al-Qasas: 23–24)
Na amesema Mtume (Rehema na amani zimikie yeye):
Na kumsaidia mtu kwenye mnyama wake, ukampandisha juu yake au ukambebea mzigo wake, hiyo ni sadaka.
(Imepokewa na Muslim)