سلسلة الأخلاق – كظم الغيظ 
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
سلسلة الأخلاق – كظم الغيظ
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
كظم الغيظ
قال الله تعالى :
الذين ينفقون في السراء والضراء والكاظمين الغيظ والعافين عن الناس
( آل عمران : 134 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
من كظم غيظا وهو يستطيع أن ينفذه دعاه الله يوم القيامة على رءوس الخلائق حتى يخيره في أي الحور شاء
رواه الترمذي وحسنه الألباني
Silsila ya Tabia njema – Kuzuia Ghadhabu
Ni tabia njema ambazo Uislamu umehimiza na kuamuru.
Kuzuia Ghadhabu
Allah Mtukufu amesema:
“Ambao hutoa wanapo kuwa na wasaa na wanapo kuwa na dhiki, na wanajizuia ghadhabu, na wasamehevu kwa watu; na Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema;
(Aal Imran: 134)
Mtume ﷺ amesema:
“Atakayezuia ghadhabu yake ilhali ana uwezo wa kuitoa, Allah atamuita Siku ya Kiyama mbele ya viumbe wote, kisha akampa kuchagua miongoni mwa Huri ampendezao.”
Amesimuliwa na Tirmidhiy na Al=Albani amesema ni Hadithi hasan
ٍ