Silsila ya Tabia njema – Uhakikisho 
لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا
جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي
Silsila ya Tabia njema – Uhakikisho
سلسلة الأخلاق – التثبت
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
التثبت
قال الله تعالى :
يا أيها الذين آمنوا إن جاءكم فاسق بنبإ فتبينوا أن تصيبوا قوما بجهالة فتصبحوا على ما فعلتم نادمين
( الحجرات : 6 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
كفى بالمرء كذبا أن يحدث بكل ما سمع
أورده مسلم في مقدمة الصحيح وصححه الألباني
Silsila ya Tabia njema – Uhakikisho
Maadili Mema Yaliyohimizwa na Dini na Kuamrishwa
ni (Uhakikisho kabla ya kuchukua habari)
Mwenyezi Munu Mtukufu amesema:
“Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.”
(Surat Al-Ḥujurāt: 6)
Mtume Muhammad ﷺ amesema:
“Inamtosha mtu kuwa muongo kwa kusimulia kila anachosikia (bila kuchunguza).”
(Amesimuliwa na Muslim katika utangulizi wa Sahih yake, na kuhakikishwa usahihi wake na Al-Albani)