Document

Silsila ya Tabia njema – Kupendana kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu Maadili Mema Yaliyohimizwa na Dini na Kuamrishwa ni new post

لمشاهدة الصورة بحجمها الأصلي اضغط هنا

Silsila ya Tabia njema – Kupendana kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu Maadili Mema Yaliyohimizwa na Dini na Kuamrishwa ni
تنزيل الصورة :

جودة الطباعة - ألوانجودة الطباعة - أسودملف نصّي

Silsila ya Tabia njema – Kupendana kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu Maadili Mema Yaliyohimizwa na Dini na Kuamrishwa ni
سلسلة الأخلاق – الحب في الله
أخلاق محمودة حث عليها الشرع وأمر بها
الحب في الله
قال الله تعالى :
والذين تبوءوا الدار والإيمان من قبلهم يحبون من هاجر إليهم
( الحشر : 9 )
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
سبعة يظلهم الله يوم القيامة في ظله يوم لا ظل إلا ظله : وذكر منهم : ورجلان تحابا في الله ، اجتمعا عليه وتفرقا عليه
متفق عليه
Silsila ya Tabia njema – Kupendana kwa
Ajili ya Mwenyezi Mungu Maadili Mema Yaliyohimizwa na Dini na Kuamrishwa ni
Kupendana kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu
Menyezi Munu Mtukufu amesema:
“Na walio na maskani zao na Imani yao kabla yao, wanawapenda walio hamia kwao.”
(Surat Al-Hashr: 9)
ﷺNa amesema Mtume Muhammad:
“Watu saba watakuwa katika kivuli cha Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, siku ambayo hakutakuwa na kivuli ila kivuli Chake. Miongoni mwao: Wanaume wawili waliopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, wakakutana juu ya hilo na wakaachana juu ya hilo.”
(Hadithi imekubaliwa na Bukhari na Muslim – Muttafaq ‘alayh)

6
بالضغط على هذا الزر .. سيتم نسخ النص إلى الحافظة .. حيث يمكنك مشاركته من خلال استعمال الأمر ـ " لصق " ـ
شارك :

error-img taf-img